Dakika 26 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 7 Kuanzia harufu yake ya kipekee hadi chembechembe hasi inazoachilia hewani, mvua ina manufaa yanayovutia kwa mwili wa binadamu, hasa katika kuboresha hali ya hisia. Mvua si tu huleta nafuu ya joto, bali tafiti zinaonyesha pia inaweza kuboresha hali ya moyo, kusafisha hewa, kuchochea kumbukumbu na kusaidia mwili kupumzika. Ilikuwa